Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

ad728

MAONESHO YA NANENANE YAWA CHANZO CHA ELIMU YA HALI YA HEWA KWA WADAU

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inashiriki  katika maonesho ya NaneNane  2026 yanayofanyika  kuanzia tarehe 1 hadi 8 Agosti 2026,katika viwanja vya John Malecela, Nzunguni jijini Dodoma.


Maonesho hayo yanatoa fursa kwa wadau mbalimbali kupata elimu ya hali ya hewa, shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na TMA,ikiwemo shughuli ya uthibiti na uratibu wa huduma za hali ya hewa nchini.

TMA inashiriki katika maonesho ya Kikanda Mbeya na Morogoro.  Kaulimbiu ya mwaka huu ni ‘‘Tambua soko, Ongeza tija, Tekeleza Diira 2050

Post a Comment

0 Comments